• HABARI MPYA

  Monday, May 14, 2018

  NGORONGORO HEROES NA MALI KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

  Winga wa Tanzania, Abdulnasir Bitebo (kushoto) akimuacha chini kwa chenga nzuri mchezaji wa Mali, Ousmane Diakite jana katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Pili kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 20 (AFCON U20) mwakani nchini Niger. Mali ilishinda 2-1 jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam.  
  Abdulnasir Bitebo akimtoka mchezaji wa Mali, Mamadou Samake
  Mfungaji wa bao la Tanzania, Ngorongoro Heroes, Peter Paul (kushoto) akipiga shuti 
  Mshambuliaji wa Ngorongoro Heroes, Habib Kiyombo akimiliki mpira mbele ya beki wa Mali, The Eagles, Dante Amadou 
  Mamady Diara wa Mali akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Ngorongoro Heroes, Asad Juma
  Beki wa Ngorongoro Heroes, Israel Mwenda akimtoka mchezaji wa The Eagles, Ousmane Diakite 
  Kocha Mkuu wa Ngorongoro Heroes, Ammy Ninje na wasaidizi wake jana kwenye benchi  
  Viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) jana uwanjani
  Kikosi cha Mali kabla ya mechi ya jana 
  Kikosi cha Ngorongoro Heroes jana Uwanja wa Taifa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NGORONGORO HEROES NA MALI KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top