• HABARI MPYA

  Monday, May 14, 2018

  BOATENG APIGA HAT TRICK BARCA YAPIGWA MKONO

  Mshambuliaji kinda wa umri wa miaka 21, Mghana Emmanuel Okyere Boateng akishangilia baada ya kuifungia Levante mabao matatu peke yake dakika za tisa, 30 na 49 katika ushindi wa 5-4 dhidi ya Barcelona usiku wa Jumapili Uwanja wa Ciudad de Valencia katika mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Levante yamefungwa na Enis Bardhi dakika za 46 na 56, huku ya Barca yakifungwa na Philippe Coutinho matatu pia dakika za 38, 59 na 64 na lingine Luis Suarez kwa penalti dakika ya  71. Hii ni mechi ya kwanza ya msimu ya La liga Barca inapoteza PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BOATENG APIGA HAT TRICK BARCA YAPIGWA MKONO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top