• HABARI MPYA

  Sunday, May 13, 2018

  KANE AFUNGA MAWILI SPURS YASHINDA 5-4 DHIDI YA LEICESTER

  Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Tottenham Hotspur dakika za saba na 76 katika ushindi wa 5-4 dhidi ya Leicester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Wembley leo. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Erik Lamela dakika za 49 na 60 na lingine Christian Fuchs akijifunga dakika ya 53, huku ya Leicester yakifungwa na Jamie Vardy mawili dakika za nne na 73, Riyad Mahrez dakika ya 16 na Kelechi Iheanacho dakika ya 47 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KANE AFUNGA MAWILI SPURS YASHINDA 5-4 DHIDI YA LEICESTER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top