• HABARI MPYA

  Sunday, May 13, 2018

  JESUS AIFUNGIA MAN CITY BAO LA POINTI 100 ENGLAND

  Gabriel Jesus akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Manchester City bao pekee dakika ya 90 ikiilaza 1-0 Southampton Uwanja wa St. Mary's kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England na kufikisha pointi 100 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JESUS AIFUNGIA MAN CITY BAO LA POINTI 100 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top