• HABARI MPYA

  Sunday, May 13, 2018

  WENGER AAGA ARSENAL KWA USHINDI WA 1-0 UGENINI

  Kocha Mfaransa wa Arsenal, Arsene Wenger akikatiza katikati ya wachezaji wake na wa Huddersfield Town kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya England baina ya timu hizo Uwanja wa The John Smith, Huddersfield mjini West Yorkshire kuaga akikamilisha miaka 22 ya kufundisha klabu hiyo ya London. Arsenal imeshinda 1-0, bao pekee la Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 38 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WENGER AAGA ARSENAL KWA USHINDI WA 1-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top