• HABARI MPYA

  Saturday, June 01, 2019

  NI LIVERPOOL AU SPURS KUBEBA TAJI LA LIGI YA MABINGWA LEO?

  Wachezaji wa Liverpool wakifanya mazoezi jana Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid kuelekea fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa leo uwanjani hapo dhidi ya wapinzani wao wa England, Tottenham Hotspur, pichani chini wakifanya mazoezi uwanjani hapo pia, Nani kubeba taji hilo leo, Liverpool au Spurs? 
     
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NI LIVERPOOL AU SPURS KUBEBA TAJI LA LIGI YA MABINGWA LEO? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top