• HABARI MPYA

  Monday, June 10, 2019

  URENO WAIPIGA UHOLANZI 1-0 NA KUBEBA KOMBE LA LIGI YA MATAIFA ULAYA

  Nahodha wa Ureno, Cristiano Ronaldo akiwa ameinua Kombe la Ligi ya Mataifa ya Ulaya baada ya kukabidhiwa kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Uholanzi, bao pekee la Goncalo Guedes dakika ya 60 Uwanja wa Do Dragao mjini Porto 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: URENO WAIPIGA UHOLANZI 1-0 NA KUBEBA KOMBE LA LIGI YA MATAIFA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top