• HABARI MPYA

  Friday, June 28, 2019

  LIVERPOOL YASAJILI BEKI KINDA WA MIAKA 17 KWA PAUNI MILIONI 4.4

  Beki kinda wa umri wa miaka 17, Sepp van der Berg akiwa ameshika jezi ya Liverpool baada ya kukamilisha uhamisho wake kutoka PEC Zwolle akisaini mkataba wa muda mrefu kwa dau la Pauni Milioni 4.4 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YASAJILI BEKI KINDA WA MIAKA 17 KWA PAUNI MILIONI 4.4 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top