• HABARI MPYA

  Friday, June 28, 2019

  BRAZIL YAITOA PARAGUAY, YATINGA NUSU FAINALI COPA AMERICA

  Nyota wa Manchester City, Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia penalti ya mwisho na ya ushindi Brazil ikiilaza kwa penalti 4-3 Paraguay katika mchezo wa Robo Fainali ya Copa America usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Arena do Gremio mjini Porto Alegre, Rio Grande do Sul na kutinga Nusu Fainali.
  Penalti nyingine za Brazil zilifungwa na Willian, Marquinhos na Philippe Coutinho, wakati Roberto Firmino alikosa na kwa upande wa Paraguay iliyomaliza pungufu baada ya Fabián Balbuena kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 58 penalti zao zilifungwa na Miguel Almiron, Bruno Valdez na Juan Rodrigo Rojas wakati Gustavo Gómez na Derlis González walikosa 
    
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BRAZIL YAITOA PARAGUAY, YATINGA NUSU FAINALI COPA AMERICA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top