• HABARI MPYA

  Sunday, June 30, 2019

  TAIFA STARS WAKIPASHA FUKWE YA COPACABANA KAMBINI BRAZIL 2007

  Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars chini ya Kocha Mbrazil, Marcio Maximo wakiwa mazoezini kwenye ufukwe wa Copacabana mjini Rio de Janeiro nchini Brazil mwaka 2007 kwenye kambi ya kujiandaa na mechi za kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2008 zilizofanyika nchini Ghana. Hata hivyo, timu hiyo haikufuzu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS WAKIPASHA FUKWE YA COPACABANA KAMBINI BRAZIL 2007 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top