• HABARI MPYA

  Friday, June 14, 2019

  HAZARD ATAMBULISHWA RASMI KUWA NYOTA MPYA WA REAL MADRID

  Rais wa Real Madrid, Florentino Perez akimkabidhi mchezaji mpya, Eden Hazard jezi ya klabu hiyo wakati wa utambulisho wake leo Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid baada ya kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 150 kutoka Chelsea Mbelgiji huyo akisaini mkataba wa miaka mitano kwa mshahara wa Pauni 400,000 kwa wiki 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAZARD ATAMBULISHWA RASMI KUWA NYOTA MPYA WA REAL MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top