• HABARI MPYA

  Sunday, June 30, 2019

  SUAREZ AKOSA PENALTI URUGUAY YATUPWA NJE COPA AMERICA

  Mshambuliaji Luis Suarez akipiga penalti ambayo alikosa, timu yake, Uruguay ikifungwa kwa penalti 5-4 na Peru kufuatia sare ya 0-0 katika mchezo wa Robo Fainali ya Copa America usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Arena Fonte Nova mjini Salvador, Bahia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SUAREZ AKOSA PENALTI URUGUAY YATUPWA NJE COPA AMERICA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top