• HABARI MPYA

  Sunday, June 30, 2019

  NDIKUMANA ALIVYOANZA KAZI RASMI AZAM FC JANA CHAMAZI

  Mshambuliaji mpya wa Azam FC, Mrundi Suleiman Ndikumana akiwa mazoezini jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam kujiandaa na michuano ya Kombe la Kagame itakayofanyika mwezi ujao mjini Kigali, Rwanda
  Suleiman Ndikumana akiwa na mchezaji mwenzake kutoka Burundi, Emmanuel Mvuyekure 
  Suleiman Ndikumana akiwa mazoezini jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NDIKUMANA ALIVYOANZA KAZI RASMI AZAM FC JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top