• HABARI MPYA

  Wednesday, June 12, 2019

  LUKAKU AFUNGA MAWILI UBELGIJI YAICHAPA SCOTLAND 3-0

  Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Ubelgiji dakika za 45 na ushei na 57 ikiichapa 3-0 Scotland kwenye mchezo wa Kundi I kufuzu Euro 2020 Uwanja wa Roi Baudouin mjini Brussels. Bao lingine lilifungwa na Kevin De Bruyne dakika ya 90 na ushei na kwa ushindi huo Ubelgiji inafikisha pointi 12 baada ya kucheza mechi nne ikiendelea kuongoza kundi hllo ikifuatiwa na Urusi yenye pointi tisa, Kazakhstan pointi sita sawa na Scotland, Cyprus pointi tatu na San Marino ambayo haina pointi 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUKAKU AFUNGA MAWILI UBELGIJI YAICHAPA SCOTLAND 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top