Lionel Messi akimpongeza Lautaro Martinez baada ya kuifungia bao la kwanza Argentina dakika ya 10 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Venezuela kwenye mchezo wa Robo Fainali michuano ya Copa America usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Jornalista Mario Filho, Maracana mjini Rio de Janeiro, Brazil. Bao la pili lilifungwa na Giovani Lo Celso dakika ya 74 na sasa Argentina itamenyana na Brazil katika Nusu Fainali Julai 3 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Bournemouth sign Hungary midfielder Toth for £10m
-
Bournemouth sign Hungary international Alex Toth for £10.4m from
Ferencvaros, with the midfielder joining the Cherries on a
five-and-half-year contract.
53 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment