• HABARI MPYA

  Sunday, June 30, 2019

  ALEXIS SANCHEZ AIPELEKA CHILE NUSU FAINALI COPA AMERICA

  Alexis Sanchez akiifungia penalti ya mwisho Chile ikiibuka na ushindi wa penalti 5-4 kufuatia sare ya 0-0 katika mchezo wa Robo Fainali ya Copa America usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Arena Corinthians mjini Sao Paulo, Brazil na sasa itamenyana na Peru Julai 4 katika Nusu Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ALEXIS SANCHEZ AIPELEKA CHILE NUSU FAINALI COPA AMERICA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top