• HABARI MPYA

  Monday, June 17, 2019

  FURY ANA PAMBANO MOJA ZAIDI KABLA YA KURUDIANA NA WILDER

  Tyson Fury akishangilia baada ya kumshinda kwa Technical Knockout (TKO) raundi ya pili Mjerumani, Tom Schwarz katika pambano la uzito wa juu ngumi za kulipwa Alfajiri ya Jumapili ukumbi wa MGM Grand Arena mjini Las Vegas, Marekani. Baada ya ushindi huo, Tyson Fury maarufu kama Gypsy King atakuwa na pambano lingine mjini Las Vegas Septemba au Oktoba kabla ya kurudiana na Deontay Wilder mwaka mpya PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FURY ANA PAMBANO MOJA ZAIDI KABLA YA KURUDIANA NA WILDER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top