• HABARI MPYA

  Monday, May 14, 2018

  NEYMAR AWA MCHEZAJI BORA UFARANSA, LAKINI AMEBEBWA?

  Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain, Neymar (kulia) akikabidhiwa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Ligue 1, Ufaransa na gwiji wa Brazil, Ronaldo Lima (kushoto) baada ya kuwapiku wachezaji wenzake wa PSG, Edinson Cavani na Kylian Mbappe, huku Florian Thauvin wa Marseille akimaliza nafasi ya nne. Lakini tuzo hiyo imeleta maswali, kwa sababu Neymay amecheza mechi 20 tu na kufunga mabao 19, wakati Cavani ndiye mfungaji bora wa Ligue 1 kwa mabao yake 28, akifuatiwa na Thauvin mabao 20 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEYMAR AWA MCHEZAJI BORA UFARANSA, LAKINI AMEBEBWA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top