Karim Benzema akishangilia mbele ya mashabiki wa Real Madrid baada ya kufunga bao lake la kwanza dakika ya 11 kati ya mawili, lingine dakika ya 46 aliyofunga jana katika sare ya 2-2 na Bayern Munich katika mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao ya Bayern Munich yalifungwa na Joshua Kimmich dakika ya tatu na James Rodriguez dakika ya 63 na sasa Real Madrid inakwenda fainali kwa ushindi wa jumla wa 4-3, baada ya awali kushinda 2-1 Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich, Ujerumani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Kia EV5 review – could Kia’s latest EV be yet another World Car winner?
-
Think of the EV5 as an all-electric Kia Sportage that sits in Kia’s
ginormous EV line-up alongside the EV3, EV4, EV6 and EV9.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment