• HABARI MPYA

  Sunday, May 13, 2018

  BALE AFUNGA MAWILI REAL YAUA 6-0 BILA RONALDO

  Winga Gareth Bale (kulia) akishangilia na mchezaji mwenzake, Isco baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za 13 na 30 katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Celta-Vigo kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine ya Real ambayo haikumtumia nyota wake, Mreno Cristiano Ronaldo sababu ni majeruhi yamefungwa na Isco dakika ya 32, Achraf Hakimi dakika ya 52, Sergi Gomez aliyejifunga dakika ya 74 na Toni Kroos dakika ya 81 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BALE AFUNGA MAWILI REAL YAUA 6-0 BILA RONALDO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top