• HABARI MPYA

    Sunday, May 13, 2018

    SIMBA SC BAADA YA KUKABIDHIWA KOMBE LAO LA UBINGWA WA LIGI KUU 1994

    Kikosi ocha wa Simba SC baada ya kukabidhiwa Kombe lao la ubingwa wa Daraja la Kwanza (sasa ligi Kuu) Tanzania Bara mwaka 1994 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) mjini Dar es Salaam. Kutoka kulia waliosimama ni Kocha Mhabeshi Enteneh Eshete, wachezaji George Masatu, Godwin Aswile, Mwameja Mohammed, Joseph Katuba (marehemu), Madaraka Suleiman, Kasongo Athumani, Athumani China, Iddi Suleiman, Dk. Msemakweli, Kocha Abdallah Athumani Seif ‘King Kibadeni’ na Kocha Dragan Popadic.
    Waliochuchumaa kutoka kulia ni Mustapha Hoza, George Lucas, Fikiri Magoso, Thomas Kipese, Juma Amir Maftah, Abdul Ramadhani ‘Mashine’, Edward Chumila (marehemu) na Nteze John Lungu.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC BAADA YA KUKABIDHIWA KOMBE LAO LA UBINGWA WA LIGI KUU 1994 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top