• HABARI MPYA

  Tuesday, May 01, 2018

  MASHABIKI BARCA WAMWAGIKA MITAANI KUSHANGILIA LA LIGA YA 25

  Basi la wachezaji wa Barcelona likipita katikati ya mashabiki mitaa ya Barcelona jana baada ya ushindi wa taji la 25 la La Liga kufuatia kuichapa mabao 4-2 Deportivo La Coruna juzi na kujibebea taji la pili Hispania msimu huu kufuatia awali kunyakua Kombe la Mfalme, maarufu kama Copa del Rey PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHABIKI BARCA WAMWAGIKA MITAANI KUSHANGILIA LA LIGA YA 25 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top