• HABARI MPYA

  Tuesday, May 01, 2018

  HARRY KANE AFIKISHA MABAO 27 LIGI KUU ENGLAND

  Harry Kane akishangilia baada ya kufunga bao lake la 27 la msimu dakika ya 48 jana katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Wembley mjini London, kufuatia Dele Alli kufunga la kwanza dakika ya 16 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HARRY KANE AFIKISHA MABAO 27 LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top