• HABARI MPYA

  Sunday, May 13, 2018

  BAYERN WAPIGWA 4-1 WAKIKABIDHIWA BUNDESLIGA YA SITA

  Wachezaji wa Bayern Munich wakifurahia na taji lao la sita mfululizo la Ligi Kuu ya Ujerumani, maarufu kama Bundesliga licha ya kufungwa mabao 4-1 na Stuttgart nyumbani Uwanja wa Allianz Arena jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAYERN WAPIGWA 4-1 WAKIKABIDHIWA BUNDESLIGA YA SITA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top