• HABARI MPYA

  Saturday, July 28, 2012

  YANGA YASAJILI STRIKER LA BURUNDI LILILOWAPIGA MBILI MECHI YA KWANZA

  Mshambuliaji wa Atleticon ya Burundi, Didier Kavumbangu (pichani) amesaini Yanga juzi. Kiongozi Mkuu wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Seif Ahmad 'Magari' ameiambia BIN ZUBEIRY leo kwamba wamemsajili mchezaji huyo na sasa wameimarisha safu yao ya ushambuliaji, yenye wakali wengine kama Hamisi Kiiza na Said Bahanuzi. Kavumbangu ndiye aliyefunga mabao yote mawili katika mchezo wa kwanza wa Kundi C, Yanga ikilala 2-0 mbele ya Atletico, mchezo pekee mabingwa hao wa Kagame kufungwa mashindano ya mwaka huu.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA YASAJILI STRIKER LA BURUNDI LILILOWAPIGA MBILI MECHI YA KWANZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top