• HABARI MPYA

    Tuesday, July 24, 2012

    SIMBA WALIJITABIRIA KUPIGWA BAO TATU

    Simba imepigwa mabao 3-1 na Azam FC leo katika Robo Fainali ya mwisho ya Klabu Bingwa ya soka Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam- lakini unaweza kustaajabu kipigo hicho mashabiki wa Simba walitabiri kuwapa Azam, ila ajabu kimewageukia wao. Tazama picha hizi za mashabiki wa Simba na Azam wakitambiana, nani kainua vidole vitatu juu?


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA WALIJITABIRIA KUPIGWA BAO TATU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top