Mashabiki wa Simba, leo
wamemtembezea kichapo mama mmoja aliyekuwa amevalia jezi ya timu ya taifa ya
Tanzania, Taifa Stars yenye nembo ya Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF), kosa
kukaa kwenye jukwaa walilokuwa wamekaa wao. Sasa haikuweza kufahamika mara
moja, mashabiki wa Simba wana bifu na TFF au hawapendi timu ya taifa. Mama huyo
alikimbizwa huku akipewa kichapo hadi kutokwa damu, kabla ya kuokolewa na Polisi
waliomteremsha jukwaani. Aliporwa vitu vyake kama pochi na kadhalika. Baadaye akiwa
amekwishaokolewa na askari, ndipo msamaria mwema mmoja, albino akamuokotea
baadhi ya vitu na kuwakabidhi askari. Huwezi kulipa jina lingine tukio lile,
zaidi ya udhalilishaji wa kijinsia. Alikuwa anatia huruma mama huyo wakati
anahangaika kujitoa kwenye kundi la mashabiki wa kiuma wa Simba, iliyofungwa
3-1 na Azam leo katika Robo Fainali ya Kombe la Kagame.
Aaron Jones 'Certainly Could' Get Franchise Tag Ahead of FA, Packers GM Says
-
The Green Bay Packers aren't ruling out the possibility of using the
franchise tag on Aaron Jones . Per Olivia Reiner of the Milwaukee Journal
Sentinel , g...
38 minutes ago
0 comments:
Post a Comment