• HABARI MPYA

  Saturday, July 28, 2012

  HAPPY BIRTHDAY JEMBE LANGU

  Mwandishi mwandamizi wa bongostaz.blogspot.com, Prince Akbar leo anatimiza miaka 30 tangu azaliwe. Wazazi wake, baba na mama yake, (Mahmoud & Dina) tunampongeza, tunamtakia heri, baraka na maisha marefu pamoja na mafanikio. Kwa baraka za Mungu atimize ndoto zake. Mungu amuepushie chuki na husda za wanadamu. Amuongoze kuwa mwadilifu, mwema, kiongozi, mwenye subira, upendo inshaallah. Ampende Allah na mtume wake S.A.W. amin.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAPPY BIRTHDAY JEMBE LANGU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top