• HABARI MPYA

  Thursday, July 26, 2012

  KOCHA YANGA ALICHANGIA USHINDI WA AZAM DHIDI YA VITA

  Kocha wa Yanga, Tom Saintfiet anaonekana kuwa na sifa ya uungwana na kuweka mbele uzalendo wa taifa analofanyia kazi; Leo wakati wa mapumziko katika mechi ya Azam na AS Vita, alimfuata kocha wa Azam, Stewart Hall na kumpa ushauri wa kiufundi, wakati Azam ikiwa nyuma kwa 1-0 na kwa kuonyesha kwamba ushauri wake ulikuwa mzuri, Azam walifanikiwa kupata mabao mawili kipindi cha pili na kushinda 2-1. Jumamosi makocha hao timu zao zitakutana katika fainali, je hali itakuwaje? Hakika si shoo la kukosa.  

  Gumbo akitibiwa na Dk Sufiani Juma wa Yanga baada ya kuumia

  Dida akishangilia na mashabiki wa Azam

  Beki la kazi, Said Mourad 'Mweda'

  Mguu wa kulia wa Juma Abdul ulioumia kifundo kama unavyoonekana pichani

  Kiungo bora kabisa Afrika Mashariki kwa sasa, Salum Abubakar Sure Boy

  Yanga na APR wanaingia

  Azam na AS Vita baada ya mechi wakitoka uwanjani

  Kocha Muingereza, Kally Ongala wa Azam, msaidizi wa Muingereza mwenzake, Stewart Hall

  Kipa wa AS Vita akilalamika kwa refa

  Azam na AS Vita

  Fanya fyoko uone wakiwa tayari kwa kazi

  Raha ya mechi bao; Ngassa akipongezwa

  Ngassa bado wamo, wanambania tu

  Mashabiki wa Yanga

  Gau akipiga jaramba

  Mashabikinwa Yanga

  Bao la Yanga lilianzia hapa; wakati wachezaji wa APR wakiwa wamezubaa chini, Gumbo kushoto alikwenda kurusha haraka, Niyonzima akaingia nao mpira akampa Kiiza akafunga

  Braza Gau

  Yanga wamekosa bao wanarudi haraka

  Hivi ndivyo Bocco alivyoruka kufunga bao

  Wakati wa mapumziko mechi ya Yanga na Vita; Kocha wa Yanga, Tom Saintfiet alimuita kocha wa Azam, Stewart Hall kumuelekeza mambo na kipindi cha pili Azam ikatoka nyuma kwa 1-0 na kushinda 2-1

  Yanga na APR

  Beki wa APR analala na kuutoa mpira miguuni mwa Shamte Ally

  Stewart na Tom wakizungumza mapumziko Azam na Vita

  Kocha Stewart Hall

  Kiiza akinyemelea

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA YANGA ALICHANGIA USHINDI WA AZAM DHIDI YA VITA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top