Marefa wanaochezesha Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati,
Kombe la Kagame, kutoka kulia ni Peter Sabatia (Kenya), Jesse Rasmo, Israel
Mujuni (Tanzania), Dennis Batte
(Uganda), Josephat Bulali (Zanzibar), Hamisi Chang’walu(Tanzania), Kapteni
Mstaafu, Stanley Lugenge (Tanzania, Kiongozi), Anthony Ogwayo (Kenya), Thierry
Nkurunzinza (Burundi) na Kaloba Elias (Kenya).
Hapa walikosekana Issa Kagabo, Simba Honore wa Rwanda na Mussa Balikoowa
wa Uganda, kukamilisha orodha kamili ya marefa wa mashindano haya yaliyoanza
Julai 14 na yatafikia tamati Julai 28, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
|
0 comments:
Post a Comment