• HABARI MPYA

  Sunday, July 29, 2012

  KIDUNDA ADUNDWA LONDON


  Bondia wa Tanzania, Selemani Kidunda (kulia) akiwa hoi baada ya kudundwa kirahisi kwa pointi 20-7 dhidi ya bondia wa Moldova, Vasilii Belous katika pambano la uzito wa welter (69kg) mzunguko wa 32 kwenye Ukumbi wa ExCeL katika michuano ya Olimpiki ya London 2012 leo Julai 29, 2012. Picha: REUTERS
  Bondia wa Tanzania, Selemani Kidunda (kushoto) akishambuliwa na bondia wa Moldova, Vasilii Belous wakati wa pambano lao la uzito wa welter (69kg) mzunguko wa 32 kwenye Ukumbi wa ExCeL katika michuano ya Olimpiki ya London 2012 leo Julai 29, 2012. Picha: REUTERS

  Bondia wa Tanzania, Selemani Kidunda (kushoto) akiendelea kuadhibiwa na bondia wa Moldova, Vasilii Belous wakati wa pambano lao la uzito wa welter (69kg) mzunguko wa 32 kwenye Ukumbi wa ExCeL katika michuano ya Olimpiki ya London 2012 leo Julai 29, 2012. Picha: REUTERS

  Tanzania imeanza vibaya michezo ya Olimpiki 2012 inayoendelea huko London, Uingereza baada ya bondia wake, Suleiman Kidunda kudundwa kwa poiti 20-7 na Belous wa Jamhuri ya Moldova. Pichani ni Kidunda kulia akiwa na Rais Kikwete

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIDUNDA ADUNDWA LONDON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top