HASSANALI AWANG'ARISHA VIMWANA MISS DAR INTER COLLEGE
Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Mustafa akimkabidhi zawadi ya gauni lenye thamani ya shilingi 500,000 Miss Dar Intercollege 2012 Hilda Edward ofisini kwake leo, anayeshuhudia ni mratibu wa shindano hilo, Dina Ismail.
Pichani Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Mustafa akimkabidhi zawadi ya gauni lenye thamani ya shilingi 300,000 Mshindi wa pili wa Miss Dar Intercollege 2012 Jamila Hassanofisini kwake leo, anayeshuhudia ni mratibu wa shindano hilo, Dina Ismail.
Pichani Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Mustafa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa kitongoji cha Miss Dar Intercollege katika shindano la Miss Higher Learning 2012, Hilda Edward na mshindi wa pili Jamila Hassan pamoja na mratibu Dina Ismail ofisini kwake leo,
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment