• HABARI MPYA

    Monday, September 22, 2014

    MESSI AKOSA PENALTI, LAKINI BARCELONA YAUA 5-0 LA LIGA

    Mshambuliaji wa Barcelona, Leonel Messi akishangilia na mchezaji mwenzake, Akitic baada ya kufunga katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Levante kwenye La Liga jana. Messi alifunga bao moja, lakini akakosa penalti wakati mabao mengine yalifungwa na Neymar, Ivan Rakitic, Sandro na Pedro.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI AKOSA PENALTI, LAKINI BARCELONA YAUA 5-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top