• HABARI MPYA

  Saturday, September 27, 2014

  ARSENAL CHUPUCHUPU KWA SPURS, YACHOMOA 'JIONI JIONI' 1-1

  KIUNGO Alex Oxlade-Chamberlain ameinusuru Arsenal kulala mbele ya Tottenham Hotspur baada ya kuifungia bao la kusawazisha katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Emirates.
  Muingereza huyo alifunga bao hilo dakika ya 74 baada ya pasi nzuri ya Danny Welbeck. Spurs ilipata bao lake kupitia kwa Nacer Chadli.
  Mkombozi; Alex Oxlade- Chamberlain akishukuru baada ya kuifungia Arsenal bao la kusawazisha leo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL CHUPUCHUPU KWA SPURS, YACHOMOA 'JIONI JIONI' 1-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top