• HABARI MPYA

  Sunday, September 28, 2014

  DIEGO COSTA NI HABARI NYINGINE...THE BLUES KILELENI ENGLAND  Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa akishangilia jana baada ya kufunga katika ushindi wa 3-0 wa timu yake dhidi ya Aston Villa Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao mengine yalifungwa na Oscar na Willian na sasa The Blues wapo kileleni mwa Ligi Kuu England. Chelsea ina pointi 16, ikifuatiwa na Southampton pointi 13, Manchester City pointi 11, Arsenal pointi 10 sawa na Swansea City na Aston Vila baada ya kila timu kucheza mechi sita. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DIEGO COSTA NI HABARI NYINGINE...THE BLUES KILELENI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top