• HABARI MPYA

  Monday, September 29, 2014

  MBWANA SAMATTA 'ALIVYOWAPELEKA PELEKA' WAARABU JANA, LAKINI HAIKUWA RIZIKI YAO MAZEMBE

  Mshambuliaji wa TP Mazembe, Mtanzania Mbwana Samatta akimtoka beki wa ES Setif ya Algeria Uwanja wa Mazembe mjini Lubumbashi jana katika Nusu Fainali ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mazembe ilishinda 3-2 na kufanya sare ya jumla ya 4-4 baada ya awali kufungwa 2-1 Algeria, hivyo kutolewa kwa mabao ya ugenini.
  Samatta akipasua katikati ya mabeki wa Setif 
  Samatta akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa Setif 
  Samatta akimiliki mpira pembeni ya beki wa Setif

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBWANA SAMATTA 'ALIVYOWAPELEKA PELEKA' WAARABU JANA, LAKINI HAIKUWA RIZIKI YAO MAZEMBE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top