• HABARI MPYA

  Monday, September 22, 2014

  SIMBA SC NA COASTAL UNION KATIKA PICHA JANA TAIIFA

  Mshambuliaji wa Simba SC, Paul Kiongera kushoto akiwa ametuliza mpira kichwani pembeni ya beki wa Coastal Union ya Tanga, Abdallah Mfuko katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2.
  Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi kushoto akimtoka beki wa Coastal, Mbwana Hamisi 'Kibacha'
  Kiungo wa Simba SC, Ramadhani Singano 'Messi' akitafuta njia za kumtoroka Abdallah Mfuko wa Coasral
  Kiungo wa Coastal, Razack Khalfan kulia akimtoka Shaaban Kisiga 'Malone' wa Simba
  Haroun Chanongo wa Simba SC, akitafuta mbinu za kumtoka Abdallah Mfuko wa Coastal
  Amsi Tambwe wa Simba SC, akitafjta maarifa ya kumpita Abdallah Mfuko wa Coastal
  Abdallah Mfuko wa Coastal akiwa ameruka juu kuondosha mpira kwenye hatari dhidi ya Ramadhni Singano 'Messi' wa Simba
  Paul Kiongera wa Simba SC akienda chini baada ya kugombea mpira na Abdallah Mfuko 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA COASTAL UNION KATIKA PICHA JANA TAIIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top