• HABARI MPYA

  Saturday, September 27, 2014

  RAFU ILIYOMPONZA ROONEY KULIMWA NYEKUNDU LEO UNITED IKISHINDA


  Nahodha wa Manchester United, Wayne Rooney akimkwatua kwa nyuma Stewart Downing wa West Ham kabla ya kuonyeshwa kadi nyekundu katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Old Trafford. United ilishinda 2-1.
  Manchester United striker Wayne Rooney, centre, is shown a red card by referee Lee Mason
  Refa Lee Mason akimuonyesha kadi nyekundu Rooney
  Wayne Rooney received a straight red after a foul on Stewart Downing of West Ham
  Wachezaji wenzake Rooney wakimtetea kwa refa
  United captain Wayne Rooney walks off the pitch after receiving a red card for a foul on Stewart Downing
  Rooney akiondoka uwanjani kwa machungu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAFU ILIYOMPONZA ROONEY KULIMWA NYEKUNDU LEO UNITED IKISHINDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top