• HABARI MPYA

  Monday, September 29, 2014

  PRISONS 'WALIVYOWAPANDISHA PRESHA' MABOSI WA YANGA SC JANA TAIFA

  Wamechomoa bwana; Wajumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Seif Ahmed 'Magari' kulia na Mussa Katabaro kushoto wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana baina ya timu yao na Prisons ya Mbeya. Hapa ni wakati Prisons wamesawazisha bao na kuwa 1-1, ingawa mwisho wa mechi Yanga SC ilishinda 2-1.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PRISONS 'WALIVYOWAPANDISHA PRESHA' MABOSI WA YANGA SC JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top