• HABARI MPYA

    Sunday, September 21, 2014

    EVERTON YACHAPWA NA CRYSTAL PALACE 3-2 NYUMBANI


    Adlene Guedioura wa Crystal palace kushoto akipambana na Darron Gibson wa Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Goodison Park. Crystal Palace ilishinda 3-2, mabao yake yakifungwa na Mile Jedinak kwa penalti, Fraizer Campbell na Yannick Bolasie, wakati mabao ya wenyeji yamefungwa na Romelu Lukaku na Leighton Baines kwa penalti pia. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: EVERTON YACHAPWA NA CRYSTAL PALACE 3-2 NYUMBANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top