• HABARI MPYA

  Sunday, September 28, 2014

  KILA LA HERI SAMATTA, ULIMWENGU NA TP MAZEMBE WAKIWANIA FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA LEO

  Kikosi cha TP Mazembe chenye washambuliaji wawili Watanzania, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu leo kinamenyana ES Setif ya Algeria katika Nusu Fainali ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika mjini Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Mazembe itahitaji ushindi wa 1-0 katika mchezo wa nyumbani leo ili kwenda Fainali, baada ya awali kufungwa mabao 2-1 Algeria. Kila heri Samatta na Ulimwengu. Kila la heri TP Mazembe.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KILA LA HERI SAMATTA, ULIMWENGU NA TP MAZEMBE WAKIWANIA FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top