• HABARI MPYA

  Monday, September 29, 2014

  WEST BROM YAUA 4-0 ENGLAND, BERAHINO APIGA MBILI

  Beki mkongwe wa West Bromwich Albion, Michael Duff akimtoka Sessegnon wa Burnley katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana The Hawthorns. West Brom ilishinda 4-0, Saido Berahino akifunga mabao mawili, Craig Dawson moja na Graham Dorrans moja. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WEST BROM YAUA 4-0 ENGLAND, BERAHINO APIGA MBILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top