• HABARI MPYA

  Monday, September 29, 2014

  YANGA SC NA PRISONS KATIKA PICHA JANA TAIFA...KONO LA BIN ZUBEIRY NI HATARI BWANA WEEE!

  Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Khalfan Ngassa akimtoka beki wa Prisons ya Mbeya, Laurian Mpalile katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 2-1.
  Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akimtoka beki wa Prisons, Jacob Mwakalobo 

  Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima kulia akimtoka beki wa Prisons, Freddy Chudu

  Beki wa Yanga SC, Edward Charles kulia akimtoka beki wa Prisons, Julius Kwangwa

  Simon Msuva akimtoka beki wa Prisons

  Kiungo Mbrazil wa Yanga SC, Andrey Coutinho akipasua katikati ya wachezaji wa Prisons

  Beki wa Prisons, Nurdin Chona akimdhibiti mshambuliaji wa Yanga SC, Mbrazil Genilson Santana Santos 'Jaja'

  Mshambuliaji wa Yanga SC, Genilson Santana Santos 'Jaja' akiruka kwanja la beki wa Prisons

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC NA PRISONS KATIKA PICHA JANA TAIFA...KONO LA BIN ZUBEIRY NI HATARI BWANA WEEE! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top