BEKI 'MNDAVA' ALIVYOMFANYA MESSI JANA BARCA IKILAZIMISHWA SARE NA MALAGA
Beki wa Malaga, Weligton akimkwida mashavuni nyota wa Barcelona, Lionel Messi kabla ya kumsukuma chini, hadi akapewa kadi ya nano na refa Alejandro Hernandez, timu hizo zikitoka sare ya bila kufungana katika mchezo wa La Liga jana.
Baadaye Weligton alisema alimfanyia hivyo Messi kwa sababu alimtukana "mwana malaya"
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment