• HABARI MPYA

  Sunday, September 28, 2014

  SEWE SPORT YATANGULIA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO

  TIMU ya Sewe Sport ya Ivory Coast, imetinga Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika 2014 baada ya sare ya bila kufungana katika Nusu Fainali ya pili dhidi ya AC Leopards ya Kongo Uwanja wa Manispaa Denis Sassou N'Guesso mjini Dolisie jana.
  Sewe Sport wanasonga mbele baada ya ushindi wa 1-0 katika mchezo wa kwanza nyumbani, shukrani kwake Christian Kouame aliyefunga bao hilo dakika ya 57.
  Sewe sasa itapambana na mshindi kati ya Al Ahly ya Misri na Coton Sport ya Cameroon. ably ilishinda 1-0 pia katika mchezo wa kwanza nyumbani.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SEWE SPORT YATANGULIA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top