• HABARI MPYA

  Thursday, September 25, 2014

  CHELSEA YAKANDAMIZA KISHIKAJI, YAWACHAPA 2-1 TU BOLTON

  CHELSEA imesonga mbele Kombe la Ligi, maarufu kama Capital One baada ya kuichapa mabao 2-1 kwa mbinde Bolton Wanderers Uwanja wa Stamfrod Bridge usiku huu.  
  Beki Mfaransa, Kurt Zouma aliifungia timu ya Jose Mourinho bao la kwanza dakika ya 25 kabla ya Nahodha wa Bolton, Matt Mills kusawazisha dakika sita baadaye.
  Sifa zimuendee Oscar aliyefunga bao la ushindi kwa The Blues kwa shuti la umbali wa mita 25 dakika ya 55. 
  Kikosi cha Chelsea kilikuwa: Cech, Azpilicueta, Zouma, Cahill, Luis, Mikel, Ake/Matic dk90, Salah/Hazard dk79, Oscar, Schurrle na Remy/Drogba dk73.
  Bolton: Lonergan, Herd, Mills, Dervite, Moxey, Feeney/Spearing dk68, Danns/Mason dk82, Pratley, Kamara, Davies/Lee dk52 na Beckford.
  Wauawaji; Kurt Zouma kulai na Oscar kushoto wakishangilia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAKANDAMIZA KISHIKAJI, YAWACHAPA 2-1 TU BOLTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top