• HABARI MPYA

  Tuesday, September 23, 2014

  KIMWAGA ANAVYOJIFUA KUREJEA UWANJANI FITI KABISA

  Winga wa Azam FC, Joseph Kimwaga aliyekuwa majeruhi akifanya mazoezi ya nguvu katika gym ya klabu hiyo iliyopo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam jana. Kimwaga amepona maumivu ya goti yaliyomuweka nje ya Uwanja tangu mwishoni mwa mwa ka jana na sasa ameanza mazoezi kuelejea kurejea uwanjani.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIMWAGA ANAVYOJIFUA KUREJEA UWANJANI FITI KABISA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top