• HABARI MPYA

  Saturday, January 09, 2016

  LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE NA EXETER KOMBE LA FA ENGLAND, 2-2

  Mshambuliaji wa Liverpool, Christian Benteke akiwa na beji ya Unahodha wa timu akimtoka beki wa Exeter, Jordan Moore-Taylor usiku wa jana Uwanja wa St James Park, katika mchezo wa Raundi ya Tatu ya Kombe la FA England. Timu hizo zilitoka 2-2, mabao ya Liverpool yakifungwa na Jerome Sinclair na Brad Smith, wakati ya Exeter yamefungwa na Tom Nichols na Lee Holmes na sasa zitarudiana wiki ijayo Uwanja wa Anfield PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE NA EXETER KOMBE LA FA ENGLAND, 2-2 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top