Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Friday, January 29, 2016

  SAMATTA AKABIDHIWA JEZI NAMBA 77 GENK, ATAMBULISHWA RASMI LEO

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akikabidhiwa jezi namba 77 wakati wa utambulisho wake makao makuu ya klabu ya KRC Genk mjini Genk nchini Ubelgiji baada ya kusiani Mkataba wa miaka minne na nusu kujiunga na wababe hao.
  Mbwana Samatta akiwa na mabosi wa Genk leo wakati wa kutambulishwa kwake kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari  


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: SAMATTA AKABIDHIWA JEZI NAMBA 77 GENK, ATAMBULISHWA RASMI LEO Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top