Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Wednesday, January 27, 2016

  HAJIB AWA MCHEZAJI BORA WA MWEZI DESEMBA SIMBA SC

  MSHAMBULIAJI wa Simba SC, Ibrahim Hajib ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Desemba wa klabu hiyo.
  Hajib (pichani kushoto) ameshinda tuzo hiyo ambayo huambatana na kitita cha Sh. 500,000 baada ya kufunga mabao matano mwezi uliopita na kuisaiia klabu hiyo kupanda hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
  Kwa sasa Hajib anakosekana Simba SC kutokana na kuwa majeruhi baada ya kuumia katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar wiki iliyopita, kufuatia kugongwa na Nahodha wa zamani wa Wekundu hao wa Msimbazi, Henry Joseph.   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: HAJIB AWA MCHEZAJI BORA WA MWEZI DESEMBA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top